NAFASI ZA KAZI MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA NAFASI 60

OswaldGerald1

PRIMEFUELS TANZANIA LIMITED ni kampuni unayohusika na usafirishaji wa mizigo tofauti yenye asili ya vimiminika (fluids) na mali yabisi (dry carggo)

PRIMEFUELS TANZANIALIMITED inahitaji madereva wenye WELEDI, UZOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usio na shak na mtu yoyote au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi

waombaji wa nafasi hizi wanatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo wakizingatia vigezo vikuu vitatu tajwa hapo juu
- UMRI USIPOUNGUA MIAKA 25 NA USIZIDI MIAKA 45


- Elimu kidato cha 4 na kuendelea


- Afya inayostahamili safari za ndani na nje ya nchi

- Uzoefu wa kuendesha magari makuba usiopungua miaka mitano


- Uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kiswahi na kingereza fasaha


- Ujuzi na uzoefu wa kuendesha gari za kusafirishia mafuta (tankers)


- Leseni ya udereva yenye sifa ya ya kuendesha magari makubwa


- Nyaraka za kusafiria (passport)


- Picha 3 za rangi ppassport


- Barua za wadhaminiwawili zenye picha zao na anuani za makazi yao


- Barua ya serikali ya mtaa unapoishi ikiwa na namba ya simu ya kiongozi wa wa serikali ya mtaa aliyekupa barua hiyo maombi yote yaletwe ofisin kwetu kuanzia tarehe 15 Januari 2018 kwa njia ya mkono na kukabidhi kwa walinzi wetu na kujaza kwenye kitabu maalum .


Ofisi zetu zipo kipawa kiwanja namba 139, NYERERE ROAD , mkabala na uwanja wa ndege , maombi yote yaelekezwe kwa


MENEJA - RASILIMALI WATU,
PRIMEFUELS TANZANIA LIMITED
S.L.P 2873,
DAR ES SALAAM

Mwisho wa upokea maombi hayo nitarehe 31 -01-2018

ZINGATIA 
- Watakao chaguliwa watapigiwa simu na ofisi kwa mchakato
- Epuka kutapelia fedha au kitu chochote cha thamani kwa ahadi ya kupata upendeleo wa ajira ndani ya PRIMEFUELS

Sign In or Register to comment.

Welcome

Karibu. Kushiriki jisajili (Register) au login uweze kupost!

Discussions

© Copyright 2017 - Flexcodes
All times are UTC