Naomba Kusaidiwa kuandika CV. Nina elimu ya form 6

JohnSwai
Habarin. Nilimaliza form 6 mwaka jana, nataka kuomba kazi, sikubahatika kuendelea na chuo. Nahitaji kusaidiwa jins ya kuandika CV nzuri, au sample nizifanyie marekebisho.

Comments

Sign In or Register to comment.

Welcome

Karibu. Kushiriki jisajili (Register) au login uweze kupost!

Discussions

In this Discussion

© Copyright 2017 - Flexcodes
All times are UTC