Matokeo ya kidato cha 6 na shule 10 bora

Collins
edited July 2017 in Elimu

TOP 10 KIDATO CHA 6

1. Feza Girls
2. Marian Boys
3. Kisimiri
4. Ahmes
5. Marian Girls
6. Mzumbe
7. St Mary Mazinde Juu
8. Tabora Boys
9. Feza Boys
10. Kibaha

Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 yametoka leo Jumamosi, Julai 15 huku shule ya Wasichana ya Feza Girls ikiibuka kinara kwa watahiniwa wake 67 kufaulu kwa kupata daraja la kwanza na la pili.

Shule nyingine zilizoibuka kidedea katika matokeo hayo ni Marian Boys, iliyoshika nafasi ya pili, Kisimiri (Arusha) imeshika nafasi ya tatu na Ahmes (Pwani) imeshika nafasi ya nne.

 Shule nyingine  ni  Marian  Girls (Pwani) iliyoshika nafasi ya tano, Mzumbe (Morogoro) nafasi ya sita, St Marry Mazinde Juu (Tanga) nafasi ya saba, Tabora Boys (Tabora) nafasi ya nane, Feza BOYS (Dar es Salaam) nafasi ya tisa na Kibaha ya Pwani iliyoshika namba kumi.

LINK: MATOKEO KIDATO CHA 6
Sign In or Register to comment.

Welcome

Karibu. Kushiriki jisajili (Register) au login uweze kupost!

Discussions

© Copyright 2017 - Flexcodes
All times are UTC